It Happened to me

Sadness like never before

You might be wondering why am making so many threads on todays accident, well been on the A109 since forever and one day in 2010 it happened to me. Not me really by someone close to me.

A classmate from primo had come for an interview ya trucks kwa muhindi mwingine, with prior knowledge had invited him his license was sawa na hizo doc zingine tukatafuta, My classmate spun the wheel kiprofessional na kazi akapata but he had to rush home ajipange akapewa siku mbili, hio jioni kamsindikiza hadi pale Mwembe Tiyari akimbie Nai arudi, main proper vehicles zilikua zimejaa so he took a mrengo (name withheld) tukaagana vizuri wakaishia.

Following morning kiwa job kaskia kwa 7am news about a Mombasa bus ilikua kwa accident and over 30 dead, tried calling my friend he was mteja, called his bro akasema pia yeye anajaribu kumpigia hampati, stress ikaanza. By 12 reports had come in gari ilikua ni ile beste yangu alikua ameingia, social media siku izo haikua advanced kaa leo, we still had to rely on radio. One of our secretaries akapiga nduru saying pia her bro was in that bus kazi ikasimama kwa ofisi. Muarabu kurudi after lunch gave me a probox fully fuelled niende makidu kujua yaliojiri. Secretary hangeenda juu ya family so we went with her hubby.

Kufika makindu was kindu 9pm na bro wa my fren pia alikua amefika, kucheki wards hatukupata our loved ones last option was kucheki morgue. Sema Horror, morgue ya watu tano ilikua na over 40, wamewekwa one on top of the other, refrigeration services were unheard off so you can imagine the smell.

Attendants were so helpful tukasaidiwa ku “sort” (Jesus on a bike). Wapendwa wetu tuliwapata hapo (MTSRIP). Kumbe ilikua hatusaidiwi bure, once you identify your body you had to take it away, documentation chap chap tukarushiwa makaratasi na miili yetu ikawekwa inje tufanye vile twataka na majamaa wakatuwekea tint, hakuna kuongea na sisi tena.

Tulikua tumesema kwetu ni Nairobi and letter was adressed to city mortuary,

Gojeeni nijicompose

Alafu spear anatokea hapa vile huyo sponsor wake anawekelewa lawama. ati we should care about his feelings as if hakuzunguka time ya elections akipiga kifua vile anaweza. Kiongozi akianza kutusi raia ati hawajielewi inakuwa nini? lakini pia hao raia ndio wenye kuchaguana. ummah ikishasema, its final.

Pole sana…I have always avoided mortuaries because of the horror stories I have heard. Imagine all those mangled bodies layed out all over and you have to go checking each one for your loved ones.

Read his comment too…he is thick as they come. In short peasants in wa “votes” peke yake.

[ATTACH=full]199878[/ATTACH]

The hard way the only way, counties zilikua hazijajipanga there were no ambulances so sisi tukalalisha kitu ya probox na kuload wapendwa wetu in their battered state, kumbuka ilikua like 22 hrs since wa deadi na joto ya makindu sio mchezo, Yule mortician alitusaidia for a fee ofcourse gave the trhee of us scented Vaseline tuweke kwa mapua, katuonyesha jinsi ya kuweka and breathing was hard lakini this is what helped us get to Nrb, kwa rd block vile @pamba hapendi kuona probox ilikua hatupiti lakini after our leter na tochi tunaambiwa pole na hatimaye tukafika. City mortuary ni kuchota tena but finally by 4am we were done. Acha niachie hapo kwa sasa.

TUFANYE NINI JAMENI.

My post in the morning niliweka vizuri sana I was shaking, got this hasira pent up sijui niiachilie wapi.

Pole sana…MM. Mimi night travel afadhali ikae

pole MM. it’s really sad to lose a loved one in a avoidable circumstances. All these road accidents are avoidable.

give me 2hrs narudi …target located :D:D:D

MM pole sana just reading this made me sad …

Kula mutheu.:D:D:D

[ATTACH=full]199951[/ATTACH]
Nothing can be said… Only the things to be done

Brother this is depressing . Pole sana . I lost a former colleague at a bank who was in a matatu on his way from Meru. His name was Mutwiri.When I saw him at the morgue, alikuwa amekaa like he was sleeping . Just the previous day on Friday we were posting transactions together!Saturday jioni he was lying in a cold box Thika town!

I just wish that I’d rather die by a bullet than someone’s negligence on the road.

Which politician are you referring to ? Ruto Mwizi ama

ule mwenye analianga hakuna kitu anaeza fanya.

Hii parable yako ni nyingi. Ooh unasema commander in chief :D:D

Sorry MM. Hii yote ni masaibu ya poor governance and corruption. Kenyans really suffer…pole sana sana.

Purple my love si Aukot angejaribu change if you did not want RAO? Tulijua 2013-2017 ilikuwa corruption, but 2017 tukawapea 5 for more of that. . Kisha we blame them for that. It confuses me alot.hata hivyo nakulike tu

Nkem sijawahi elewa, ni kama uchawi. 2022 will be no different but I will keep on hoping. What really strikes me is the wealth disparity, the poor have so little and their suffering too great. Sasa angalia ile ajali ya Muhoroni those poor people will never be the same again. :frowning:

:D:D

Neffa.
Akule diasporan :D:D:D