Itabidi wakenya wa up their game

Okiya

Incoming MCA
#1
Went to visit an old friend in East London. Time ran out na singeweza enda kwa kinyozi wangu wa kawaida so he shows me his Barber shop. Nikiwa kwa line I came to learn that the barbers are from Rwanda...hawa watu service yao iko juu tu sana..

Kwanza ukiingia kinyozi kuna dispenser ya keringet water & it's free. Most vinyozis in Kenya unaweza kufa na kiu.

The ambience is also good. Kuna air conditioner. There are 8 barbers each with his own spot. Hapo mbele for every two barber spots kuna LCD TV ya Fuji...btw for the young ones Fuji was a big company in the 80s and 90s. Hapo ndio nimeona game ya Kariobangi sharks na Everton. Hao players wa sharks walinibamba sana the way they celebrate after scoring a penalty.

Anyway, kinyozi mwenyewe nayeye anajua kazi. Hana mbio na wewe. Machine ni Philips. Akishamaliza job you're ushered into another section uoshwe kichwa.

There you meet lovely ladies. Kichwa inaoshwa thorougly na shampoo. Then unapanguzwa na very clean hot towel. Btw they have a washing machine to clean the towels.

After hapo ni thorough massage. Kichwa, shingo, mabega, mgongo, thorax, spinal cord etc. Unakandwa kandwa unaskia yes. Akimaaliza Uso nayo inapigwa sand paper na St. Ives.

Then upakwa spirit. Bump control na after shave. ...yani ukitoka hapo you can go straight to your errands. Not a speck of hair.

All that for only 500 bob. So apparently most vinyozis in the shopping centre are now owned by Rwandese. Vinyozi wakenya wasipochunga watakuwa wanajinyoa.
 
Motokubwa

Njamba ya ruriri
#5

tulikuwa pampered enough tukiwa watoi, Ni kunyolewa na finje Kama unaenda
 
#7

I am disappointed. There is not a mention of happy endings. Inakaa the faif hundred experience imekuimpress sana...
 
Kodiaga

Village Sponsor
#19
Donholm, Umoja, Kayole and other surrounding areas wamejaa. They sell coffee and KDF too. Kwanza ni wengi sana hizo sides, they even have their own churches. But si watu wabaya, they work hard for their money.
Niliattend arusi ya mwingine church yao tuu
 
Top