its all systems go

naskia already wametafuta msee wa "mtukufu rais, zinazopita angani saa hii ni ndege aina ya eagle, ama ukipenda…mwewe, ambaye ni ndege mla nyama, ana uwezo wa kuspot kuku akiwa takriban kilomita hamsini juu angani… na anawezashuka kwa mwendo wa 105km/h na kumnyakua huyo kuku na kumfanyia kitoweo huko tu angani…

unaitwa jina ya mzinga lakini hapa umefikiria ka kachupa ka ‘sparkler’

[ATTACH=full]153278[/ATTACH]

Hii ni ukweli ama ni nonesense ya fake media?

Ume mention hiyo jina ‘sparkler’ nikaona kaa nakujua…

fake news

usitaje vitu unaoneanga tu kwa counter ukinunua kane extra na krest

:D:D:D