its happy hour...give thanks for what u got

culture

Village Elder
#1
Alafu hawa sister in laws wanapeleka watoto ushago mnasumbua,,calling after every 5minutes
Watoto wamekula,waangalie vizuri wasigongwe na mbuzi,wasiingie choo ya shimo,wanacheza nini sai,wamesema nini,wamekunywa supu,wamewekewa sukari,chunga wasimeze miti ya jembe,at night mnacall mum kumwambia akawafunikie

Eeeeeeeeeish their dad survived in that environment na hakuwai kufa.
enjoy your holidays
 

Top