Watu wa ushago i hope tuko tayari coz watu wa Tao are just about to start streaming in, commanding us the villagers with “car hire” vehicles waaanze kupoint kuku za kuchinja na vifunguo za gari wakiuliza kama kuna ATM kwa kijiji? mko na western union huku? Nataka kutuma pesa india mko na microwave ya kuwarm yoghurt mnatumiaga internet gani huku?
Choo ya ndani iko wapi
Woiye, sasa hii ni mbuzi ama mbwa?? #I_love_December walai
Alafu hawa sister in laws wetu wenye wanaletanga watoto ushago mnatusumbua,calling after every 5minutes
Watoto wamekula,waangalie vizuri wasigongwe na mbuzi,wasiingie choo ya shimo,wanacheza nini sai,wamesema nini,wamekunywa supu,wamewekewa sukari,chunga wasimeze miti ya jembe,at night mnacall mum kumwambia akawafunikie
Eeeeeeeeeish their dad survived in that environment na hakuwai kufa,ama muwakujie !!