Jaba Pale Yemen

Majamaa wanaminya mugukaa like there’s no tomorrow.

https://www.youtube.com/watch?v=2wBE8nY-LlQ

Naulizaje, naeza pata wapi hii Oud ?

Huyo mtoi zake zimeshika, eti ‘i m the biggest man’ :smiley:

Tragic! Mtoi akianza delusions mapema hivi?

Hiyo sio muguka…hiyo sio Jaba…hiyo sio Ketepa.
Wacha ujuaji

ni nini mwalimu ? nifunze. ningependa kujua.

Hii ni mùgùka, ni jaba, ni ketepa.

ukimeza hizo vitu za mbuzi itakuwaje

:slight_smile:

Wacha maswali za ukuma, ng’ombe ya mundika

:D:D:Dhandas ziko tu sawa!