Jamaa Amehema Sana Akitetea Nyama Ya Naivas

#22
Huwezi itisha equipment mpya na ifike in less than a week plus setup
I'm aware walikua nazo, that's why I said "ikaongezwa equipment mpya". Hizi vitu kuna suppliers wengi Kenya, wengi sana. Sio lazima ziwe imported. Naivas ikiapproach mmoja imuambie "we need the following equipment installed within 2 days tops. Mbesha apana shida." Ata kesho yake zitakua ready.
 

LeoK

Village Elder
#24
Huwezi itisha equipment mpya na ifike in less than a week plus setup. Hizo ni vitu wamekuwa nazo


anyways, mimi wacha nibakie tu local busheri. Huku by 8:30 nyama imeisha
This is another con. There's no way a butchery inaweza maliza nyama by 8:30 every effin day. A smart business person noting that there is still demand after 8:30 would obviously gradually increase his stock.
 
#25
Huwezi itisha equipment mpya na ifike in less than a week plus setup. Hizo ni vitu wamekuwa nazo


anyways, mimi wacha nibakie tu local busheri. Huku by 8:30 nyama imeisha
I hope hiyo butchery has a swarm(heap), congregation of flies, it's the only mode of confirming that the said meat is of the highest quality.

:D
 
Top