Jamaa wangu ana suspect ame exposiwa. Anasema kwa dating site matches wameincrease lakini ni kama Dana maswali mingi kama interview. Ana suspect wanapost hizo chat. Lakini worst amepatana na madem hawajui wanacheka na wakaanza kutype kwa simu. Msee ako stressed. How can someone know kama amewekwa kwa mtandao? Kuna groups tunaweza cheki?
2021 tulisema tunawacha umeffi ya jamaa wangu na tunajua ni wewe
Following
Wah
[ATTACH=full]343766[/ATTACH]
Jama wangu = mimi
Fellow villagers mnalose focus. So nikisema ni Mimi nitapata jibu? Maybe ningeulizaa in groups gani zinakuwanga na maexpose. I think nitarephrase
Small sedes problems.
Sedes ni? Sielewi
sema tu ni wewe kabla tuendelee
Vitu mingi sana hauelewi
Mwambie awachwe kubabaishwa na vitu minor ka hizo he will be an adult soon