Jamaa Harudi Chini

Soprano

Village Elder
#4
I am completely with him hapo kwa watu wa biashara kuumia na kulia. Na, kabla watu watetee serikali, matatu zoote, not just 14 seaters, matatu zooote, serikali ya Uhuru imepanga kuziondoa barabarani walete mabas ya brt mpaka huko Kathonzweni!
 
Micymas

Village Elder
#6

Hiyo ni upuzi na hakuna kura atapata. Afadhali tuchague mtu yeyote tu, ata chokoraa badala ya mtu anasupport kitu kama hiyo
 
Top