Jamaa Harudi Chini

[MEDIA=facebook]10216099212665359[/MEDIA]

Hahaha utasikia akisema ati " I was misquoted". Ngoja tu utaona

:D:D:D…ngunjiri hapana tambua handchq chieth!

I am completely with him hapo kwa watu wa biashara kuumia na kulia. Na, kabla watu watetee serikali, matatu zoote, not just 14 seaters, matatu zooote, serikali ya Uhuru imepanga kuziondoa barabarani walete mabas ya brt mpaka huko Kathonzweni!

he is making sense…economy is downward trend this round kamwana ni kama amefunga macho

Hiyo ni upuzi na hakuna kura atapata. Afadhali tuchague mtu yeyote tu, ata chokoraa badala ya mtu anasupport kitu kama hiyo

Right now, uhurus agenda seem to be …my bro raila…loans…taxation. Ataamka ajipate mwenyewe

Tano tena :smiley:

Bitter reality ama hio ndo red pill?