Jamani leo Mkuu katoa kituko gani?

Aliyemsikilizaatuwekee clip tupate leo kaongea nini na nani kakandiwa. hakuna aliyetumbuliwa?

Leo wakati wa kusign mkataba wa kujenga Daraja jipya, kasema pia serikali wameanza mazungumzo na serikali ya Korea kuona namna wanavyoweza kuwapa mkopo wa kujenga SGR na “FEDHA ZA KULIPA MKOPO HUO ZIPO”…
Sasa kama fedha za kulipa huo mkopo zipo kuna haja gani ya kukopa…??

Huyo ndio jiwe bana ambaye hashauriki

asamehewe tu hajui asemalo

This man is crazy!

Tumempata crazier - Kangj … au???

Huyo ni jinga tu! senile imbecile… coming at a relatively middle age which is an anomaly!

Too bad