Jamani nchi yetu inaangamia...

Mfiaukweli

Village Elder
#1
....sisi (hivi hivi tukiwa mmoja mmoja) tunaweza kufanya nini? Please let's brain storm.
Ni kwa nini nimefikia kuwaza hivi? Ni kwa kuwa mawazo tunayoyatoa hapa hayawezi kufanyiwa kazi kwa kuwa SIAMINI hao waliopewa responsibilities (na ndio hao tunaowaeleza tunayowaeleza) wana uwezo wa kuelewa tunayowaambia. What do you think guys?
 
kyekomakubi

Senior Villager
#2

Wazo zuri lkn huku wasomaji wachache, hawaji.
 
Mwanadome

Senior Villager
#4
Juhudi hizi sasa tuzihamishie mitaani kwetu,ila kutafuta nguvu ya pamoja kuikabili hii hali.

Maana ki ukweli hali ya raia kuelelewa ngumvu tulizo nazo katika kuisimamia nchi ni ndogo sana.kwamba bado raia wengi hawatambui kua wanayo mraka makubwa juu ya nchi yetu.
 
Top