Jambo Kenya

wale wa location hapa ni wa?
(KCr 500)
[ATTACH=full]223699[/ATTACH]

By the way what happened to them? KCr…zimendimika kama bitcoin. Kwani mine ilifilisika? Ha!

hapa inakaa mwambatha

@Meria Mata ile KCr ulinirushia nilipojibu swali lako la the first concrete/stone building in Nairobi ilimalizia kabla nitumie. @admin fanya mambo Bwana

jomvu

Dongo kundu mbypass

hapo ni yard ya lochab opposite apm terminal na ni past mabati company msa

mataa ya ndege ( between jomvu and mikindani)

Benvick, karibu na Mataa ya ndege.

Koibatek forest on your way to total junction.

Mteremko ya Mai mahiu escarpment . Naskianga hii place ni steep sana.

kama ni mombasa then ni between miritini na mikindani, io njia ilikua ikitengezwa

VC hizi karai hubeba nini, clinker au simiti?

Clinker