
Sweet, sweet, succulent and juicy Zambarau.
Do you remember eating these? Nakumbuka back in the day, tunapanda mti na kukulia huko juu. Ulimi, meno, yote purple. Na pia umeshiba. I still wonder how tulikwea hiyo miti refu.
Anyway, nani anajua kule naweza pata zambarau?
Wholesale. Niko na market mahali....kama unauza, sema bei.
Watu wa Kitui, Makueni, Mayakos..........kujeni