Jamhu chronicles as told by Thio

Uncle Thio

Village Elder
#1
Good morning majamaa. Anyone seen my fat nephew na Waithelelo wake? Priss let them know nko area. Anyways nmeland na ka hekaya, happened many rains ago.

It started as a boring day na kama kawaida sikuwa na appetite ya kuattend any of the morning classes. Nkatoka home na kufika Ngara in good time. Kukaribia chuo nikaona sitaingia. So nkapitia the other side na kuchomokea karibu na stima plaza then kuvuka main road na kujoin forest lane, road moja ya vumbi iko hapo nyuma ya Jamhu chuo.

Now there were these kibandaskis that we guys used to idle about drinking chai na ndunya just behind the school fence along the dusty road where JCC ile yakina Kyunachyeth iko sai. This was a popular meeting point ma asubuhi as we met with guys from around the vicinity. Most patrons were Jamhu high students and Kenya power personnel alafu na ma hoi polloi kathaa.

Nkafika pale kwa kibanda and after ku debate na ma inner self as to which kibanda to patronize for the day I decided kuingia the 1st kibanda from the main road. Atleast I had made a good decision as I found the who is who cartels wa Jamhu and without wasting much time nikaitisha waiter chai na ndunya mbili. Kiasi tu zikaletwa na nika settle down kujinice.

Story inabamba kiasi mboyz mmoja akaingia na kudai ameona ndai ya Jahmu by then ilikuwa ni a blue Toyota KYT(zile ma face me) imepita hapo nje ikiteremka. Na amegoteana na dere. Ikawa ni sawa, tukaendelea. Kidogo mujamaa wa kenya power akaingia, aka scan the room na bila kubonga akajitoa. Instinct zikanisho kuna kitu inaivana but I had to finish the ndunya na chai. Nkamada na kuitisha chai choma nikaongezewa. Napiga sip ya kwanza before niinue kikombe tena, mujamaa wa kibanda next akaingia mbio na kudai anaona makarao hapo nje nkama wanasaka watu fulani na wameanza msako kwa ile kibanda ya last. So ni chai ntakunywa ama ni muchene ntaskia? Nkaendelea na chai yangu. Kidogo naye dere wa Jamhu akaingia na akatoka nikajua hapa bas, sisi kwisha.

Maboy ku scramble kwa mlango kuhepa, mi nkajua siwes toboa. Ma quick thinking nkaingia hio partition ya kitchen na kujidunga apron moja ya white chafu (luckily sikuwa nmevaa mbwenya that day, sweater na tai nlivua nkatupa huko nyuma) nkajipaka unga ya chapo nikama nko waks alafu nkashika sufuria nkaanza kuosha hapo kandoo. Wale maboy walikuwa wanahepa walikeep makarao busy ambapo I got enough time to set my act.

Karao mmoja akaingia na kuuliza wapi hao vijana wengine wamejificha huko ndani? I had to shrub kiasi to sound like mujamaa wa kibanda, nkamsho "wote wametoka bio na uko ije". Though nlikuwa na mwili mzito, I still looked young to be working in the kibanda but karao aliingiana box.

I had to buy time atleast wajiondoe, and just when I thought nlikuwa nmeponea ndo huyo Mr. Kambwenya (the deputy headmaster) akaingia kwa kibanda tukakutana paa, while I was tip toing kuenda kuchungulia kama ni all clear. Tukashtuka sisi wote, akadai "George, I know you .... follow me infront" na akageuka. Was I ready kujipeana? Apana, sio mimi. Ilikuwa ni kutoka kwa hio kibanda na kuingia kwa ya pili alafu kujichoma side ya nyuma niingilie panya route kwa fence nijipate shule ndani.

I guess Kambwenya alibaki confused kama kawaida but mbio za sakafuni huishia kwa fence. Ile panyaa nlijirusha was not big enough to accomodate my quick entry so nlikwama hapo kama burukenge imenaswa kwa mtego. Nkirudi nyuma ni ndiambo, nkienda mbele trao inararuka. That day hao watu walikuwa wamejipanga poa ju ndani ya compound kulikuwa na a batallion of the boys in green tie, wakakam na kunikwamua alafu nkaketishwa pale kando na maboy wawili pia walipatikana wakiingia chuo through the back door.

Wale walishikiwa nje ya kibanda walipelekwa karao parklands kuchangamkiwa, na sisi tulinasiwa ndani ilikuwa ni cocktail ya viboko from heady Mr Salim to Mr Ntaho the self proclaimed discipline master, followed by suspension ya 2 weeks na ukirudi unaleta in words za Mr. Kambwenya, "your father, your mother and both of your parents". Finally ukuje na a whole roll of chainlink to repair hio fence uliharibu ukipita. I still wonder upto date where they took all the chainlink rolls we brought to school as a penalty for all the skivers, who about that time were in abundance.
 
Last edited:
M

Mrs Shosho

Guest
#11

Uncle Thio...pls do not tag me again. Kush and I wachanad last week and it is all good. v good.
 
kasaman

Village Elder
#16

KYF
Mr kambwenya...Olet
So, 'you jumped under the fence'
Jahmu was the best place ever !
 
Top