Jamii Forum haipo tena hewani!

Nimejaribu kuingia kwenye mtandao wa Jamii Forum, nikakutana na taarifa ya Uongozi wa Jamii Forum, wakidai kuwa wanaboresha huduma na watarejea Very Soon…

Nimekuwa nikijiuliza hivi ile dhana ya Jiwe ya kuonbea malaika washuke toka mbinguni waje waizime JF, kumbe hizo “wishes” zake bado hazijafa tuu??

Nyie ng’ang’anieni tu huko hadi mpondwe mawe:D:D:D

Hebu mtu ajaribu kuingia JF bila ku-login (na atafute “recent posts” kitu ambacho kilikuwa kinawezekana mwanzo) halafu atuambie hapa alichokiona

Nimejaribu kuingia naona hakuna kitu chochote post zote zimeondolewa

Imefungwa

[ATTACH=full]185778[/ATTACH]

Nadhani itAku kama walivyosema kua kutakua na maboresho tu ya kawaida.

Kabisa. Ya kawaida kabisa; kama isivyokuwa ajabu paka kula panya. Ila naomba ujiweke kwenye viatu vya panya (sorry, miguu ya panya maana panya hawavai viatu), halafu uniambie ukawaida huo wa wewe (saa hiyo ukiwa panya) kuliwa na paka.

Maboreshoooo

Naona wamejaribu kuiga muonekano wa KT

Bado tu haijapatikana?

Ipo hewani

That is why I love Kenya talk na Kenya people for hosting us here.

Wamezima tena na leo haipo hewani toka saa sita mchana