Nyumbani jukwaani liko hewani
aise kweli is back ila nakutana na huu ujumbe You have insufficient privileges to reply here mpaka nimeshindwa kushangaa itakua wanaseti mitambo safi sana.
Huwezi kuanzisha thread bado
Wametupa access ya read only.
Najua kuna nyuzi nyingi za kuelimisha ili watu wazidi kupata elimu.
Mwanzo nilijawa na furaha baada ya kuona naweza kuacess ila kumbe mambo bado!
Tueudi jamani, japo bado majukwaa hayajafunguliwa hope soon tutaanza kujimwaya mwaya
nashukuru tu PM ipo so naweza kuwasiliana na beb wa jf
Hbr zinakuwa kandamizi sana
Upinzan tunapata tabu sana
Hali Bado tete huko
Hatukurupuki
Hii kt mbona inafungua picha inakua ndogo cc wenye visimu kama mm hata coni vizuri
Nimejaribu kujoin in jf Tanzania na ombi langu kukubarika, nauliza wamehamua kurudi kimya kimya au wamepewa kibari tayari?
Nawasilisha.
Wacha tuende
Jf imerudi ila kupost thread haiwezekani wamezuia. so tutaishia kusoma tu
Tuendelee kujipa muda mpaka mambo yatakapokuwa sawa kabisa
naona kupost no
ukiona hvyo jua mambo yanakaribia kuwa mazuri.
Wacha utoto
JAMII FORUMS IMEREJEA ILA KWA MUONO WANGU SIO SALAMA TENA… WALE JAMAA WA KUBLAST KUWENI MAKINI… YAJAYO YANAFURAHISHA
IMEREJEA