Jamii Forums imerudi

Back home guys waachieni Forum yao hawa wakora.

Yah imerudi kwa kweli

Pm zinakubali kuchat ila majukwaa bado closed

Jf Iko juu

Jf imerudi oyoooooooooooo
ila sioni pakuwekea post.

kweli Haiwezekani kutuma post…

Mmmmm! Una uhakika na usalama wa huko nyumbani? Askari wote wamerudi kambini? Isije kuwa ndiyo KUTUKANA MAMBA!!

Pigs keleleeeeeeeee! Afadhali kwa kuwa hakuna kupost ila tunaweza kujisomea zile nondo zilizokuwemo mule
Nalog off

haaaha hv hii kenyatalk kumbe ndio iko vilee duuh bora JF yetu imerudi…

mpakaa sasa sijafaham lipi linaendeleaa atoe ufafanuzi kipi kimejili

Mume wa kidoti karuhusu?

Nendeni mkadakwe,

siamini, siamini siamini… SIAMINI, SIAMINI, SIAMINI SIAMINI

Wakuu tulieni kwanza huko huko Kakuma na Mboloni refugee camps wakati ma-spy wakifanya uchunguzi kama kuna usalama. Inaonekana hali bado tete maana mnatakiwa mkabadili zile IDs zenu na mtumie e-mail halisi! Mwafaàaaaaa!!

Troll ni wwe wa Lumumba! Siamini kauli yako

Wacha ujinga wako wewe, hawa jamaa siyo wa kubeza hata kidogo! Mimi nawaomba wazungumze na uongozi wa JF ili uwe mtandao mkubwa kabisa wanaweza kugawana hisa forum ikawa ya Afrika Mashariki! SHIZONGE NI TAAHIRA! JIWE NI TAAHIRA!!

Nitabaki hapaa kwanza

Nami nitabaki hapa kusikilizia. Au nitakwenda na ID mpya ya unafiki wa kutii mamlaka ya JIWE

Nami hali ya hewa ya huku, nimeanza kuikubali. Ila…uhuru umekuwa mkubwa, ambao hatukuuzoea kule kwetu. Kinyume chake, kule kwetu hii heading ya uzi huu, mleta uzi angesha kula BAN!

Asanten kt kwa kutuhifadhi kwa mda,saiz tunarudi nyumbani,Mola akipenda tutaonana!byeee