Jamii imepoteza moral values

Una binti anasoma secondary, tena huku chini kwenye Ordinary Level, yuko form II-III. Unamuoana anatumia smart phone ambayo hukumnunulia unashindwa kumuuliza aliipata wapi? Siku hizi ni rahisi kushinda bahati nasibu na lottery kuliko kuoa/kuolewa bikra.

Ukimpima msichana na umkute hana ngwe ngwe hiyo ndiyo bikra yenyewe.

Nitarudi baadae.

Samahani…hivi wewe bikra yako ilitolewa ukiwa na umri gani?..just be honest ili tuweze kuendelea kudadavua mada

Muulize @Babu Asprin lakini nilikuwa A-levels. Haikupata bahati ya kwenda chuo.

Hapa ofcourse ulikuwa tayari mtu mzima…unajua utandawazi unaharibu sana…visichana vidogo vinalalwa sana

Tuwe karibu na watoto wetu, kujua wanafanya nini. Ni jukumu letu kulea taifa la kesho.

Wanangu nimewaambia nikisikia boyfriend/girlfriend mtu awe chuo, chini ya hapo hilo neno ni forbidden.

How old they are now?

Ni kweli,na wakati mwingine waambiwe waziwazi kabisa

Ni teenagers

kwa wenye watoto hapa ndio pakupatolea macho mno

Ni kweli kabisa…

Cc: @Mahondaw

Nasiku hz kuna series wanajifunza mapema tu

Maadili yamepotea …mabinti wa sasa wanajua style za kitandani kuliko wazazi wao…

Hao dawa yao wawekee spying apps kwenye hizo smartphone, utakayoyaona yatakusisimua

Kama yako ilitwaliwa ukiwa A level, Kwa nini uwakataze wao kufurahia ya dunia hadi wafike chuo?

Umeamua kutoa siri za ndani?

Kazi sana kulea watoto awamu hii, uncle jiwe kabana sana jamani

I want the best for them

Wazazi wamekuwa busy saana! Wengine hawana kauli kwa watoto wao!