JamiiTalk is now available in Tanzania you can join now

Mtandao wa jamiitalk kwa sasa unapatikana hivyo nawakaribisha kujiunga na mtandao wetu ili tujadili mambo mbalimbali.

Mijadala ya kiswahili, kingereza na kiafrikana kwa sasa inaruhusiwa.

Visit now www.jamiitalk.com

Kiafrikana ni mavi sampuli gani?

Ngoja nikajiunge…these motherfuckers jamiiforums wanapiga watu ban unneccesary kama madikteta…now,they have to behave,competitor is in town!

Hio na jamii forums same WhatsApp group … #goodluck!!!

The Kenyan section of jamiiforums is full of toxicity.

Wacha @PERDITION akachafue huko na uchokoshte:D:D mpaka madam suluhu akujie suluhisho kitui

Unaweza tumia hata kingereza tu

Asante karibu sisi hatutakuwa wakali

Tutajitahidi kujitofautisha

Karibu jamiiTalk mseya

Karibu jamiiTalk mseya

Huku tuna talk free na kujifunza na ndio tunasema let the jamii talk karibu sana via www.jamiitalk.com

Mkuu hili ni tatizo gani?

Nashindwa kujiinjoi na mtandao wa JT!

Niambie narekebisha vipi.

[ATTACH=full]428022[/ATTACH]

Same problem here …kujoin ni tatizo

Was Bongotalk taken?

Tushatatua kwa sasa unaweza ingia na kuperuzi vizuri tembelea na sasa uanzishe mada
www.jamiitalk.com

Hilo tatizo linafanyiwa kazi ila kwa sasa kama ulijisajili tayari unaweza kuingia

Now we are using JT
JamiiTalk access it through www.jamiitalk.com

Niaje Wakwitu. Naona umevuka boda kama Jaguar

Tunajaribu kuweka ujirani