JamiiTalk kuanzisha Mashindano ya Mwandishi bora

Mtandao wa JamiiTalk wenye Makao makuu yake Tanzania unatarajia kuanzisha mashindo ya Mwandishi bora.
Ambapo kutakuwa na mwandishi bora wa maudhui ya kiswahili na Mwandishi bora wa maudhui ya Kingereza.
Hivyo hivyo kutakuwa na mwandishi bora kwenye majukwaa tofautitofauti.

Mashindano hayo bado hayajaanza na maelezo zaidi yatatolewa hivyo fuatilitia mtandao huo kujua mengi

www.jamiitalk.com

Maandishi aina ya hekaya inakubalika katika hayo mashindano?

Washindi watatuzwa nini jameni?

Zawadi ni zipi haswa?

Ndio chief kika category itakubalika

Zaidi tembelea JamiiTalk na ujisajili ili kuwa mshiriki

Maelezo Zaidi yatatolewa JamiiTalk ambapo Mashindano yatafanyika