Tried kuber in high school during a history lesson alafu bahati mbaya (au mzuri juu hio lesson ilikuwa inabore sana) nikameza mate. Walahi nilkuwa naskia kulala, kutapika, kulia, kucheka, all at the same time. Siezi tumia hio takataka tena! Inaeza ua mtu my friend.