Japan

village chiefs, village sponsors, senior villagers na mburukenge zingine zote kenya talk niko na swali kiasi hapa.

what are the living conditions pale japan, treatment ya nyeusi inatafuta better life ni poa ama nikama tu pale kwa hizi nyangau zinajenga sgr

asande sana

very friendly sanasana kmoto prefecture…

Niko na beste yangu anafanya masters uko he is having a good time…

Japan is great, just don’t fvk with the Yakuza. Actually most of the top organization are Masters or PhD holders so you will never actually get to see them. Huko kuna beshte yangu alienda, alikamuana six years akarudi Kenya bila kuwahi maliza degree yake. Shida ya huko tu ni utamu wa maisha na raha haina mwisho. You have to keep yourself focused or you will just keep sliding downwards

Na kazi kupata huko iko aje …incase i decide not to come back

Hio part ya kukulana c mbaya tunapeleka village threshold standards huko

Have you been inspired by the Olunga story or what?

first thing first olunga ni nani to answer you apana am just a young adult looking out for his future and japan seems to be granting me that

The only thing I know about Japan, is the funny names for their football clubs, firstly they give me money via sports mbesha, secondly they got shitty names;

Roasso Kumamoto, Velgata Sendai, Jeff United Chiba, Gamba Osaka, Kawasaki Frontale, Yamaga,Sapporo etc the list is endless.

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/pesa-otas.84609/unread

Rahisi san, Just learn Japanese and become an English teacher. Unapewa about 300,000 KSh per month. Hiyo ni pesa kidogo sanaHuko lakini ukijinyima uirushe yote account utarudi Kenya ununue Nairobi

ukifika uko, there is a famous village called kumamoto sanya…visit it and bring your hekayaa here

Cost of living is insane and unlike most industrialized countries, Japan does not encourage immigration, thats why instead of hiring human beings to do menial/ blue collar jobs they are building robots for that. FYI Japan has a negative population growth and by 2050 the population will be lower than it is right now AND they still wont allow immigration into their country.

Esp black immigration…usijaribu ujuaji they are pia very strict…utajipata on the next plane back to africa… finger prints na dna wanachukua on point of entry…any relationship with their women is heavily frowned upon…utapata kunguru but usually those with issues…maiaha very expensive… Raha ndogo ndogo umezoea hapa itasahau. Other than that a very good country

Ati ki?

Hata Mimi nataka kuingia Japan

Usidanganywe ati threshold hutafikisha.Infact huko wanawake huwa wanaona waafrika kama kitu special.Just ask kina Kamau Wanjiru(rip),Laban Kagika,Bidan Karoki na wanariadha wengine.Some of them wamerudi kenya na bibi wajapani.

Btw a couple of youtube videos nimeona wanarobts wengi sana

Alafu hizo choo zao jameni yule jamaa wamatissue huko hawezi kuwa na kazi

No am on my own different path totally different from his

Alaf momo za huku zibaki na nani huko hakuna momo uncle