Jazzman kuliendaje hapa,

Newly acquired police chopper has crashed
while landing at Wilson Airport
[ATTACH=full]53998[/ATTACH] [ATTACH=full]53999[/ATTACH] [ATTACH=full]54000[/ATTACH]

Hii tulinunua kwa akina @Mtanzania Magufuli :D:D:D

:eek::eek::eek:

Inakaa landing rails zilicollapse

is it the same model as the one that went down at Kibiku? @Jazzman

:oops:

Si hawa watu wabuy vitu mpya kutoka Germany ama Sweden, hii inaka kitu econd hand, rails zinaanguka aje na ni kwa open strip?? Cheap is expensive SMH

sasa wakinunua huko, watoto wao wataenda braeburn na nini?

I have never been in a chopper :frowning:

This a Bell helicopter and not the new ones police bought recently. It was procured by Administration Police years back with their colours and repainted to the current police colors after the new constitution merger the two Police service.

spare parts zitapita bei ya ndege mpya . ulafi nchini kenya

Ata ya Kalonzo ilianguka na story ikaisha. Insurance will sort them out.

Hahahaha
It’s not a laughing matter but hii copter imekaa chini na kuvunjika mgongo

Hii inakaa loss of power, skids bado ziko na tail kuvunjika karibu na fuselage

:D:D:D:DSasa landing rails zinakujia wapi chopper ikicrash land?
Si mngesema tu engine malfunction…

Nah, ile ilikuwa eurocopter as350 hii ni bell 206

Actually, it’s American.

Mahali skid ziko ndio zitakuambia what happened. Ingekua na forward, side ama rearward momemtum skids zingengoka.

Kama gari hujikunja na zingime zinaweigh less than a tonne, hii yenye inaweigh almost two tonnes itafanyia nini skids?

Punda imechoka !!

sasa @KUNGU THE PILOT ameharibu kazi

Wanaiba mpaka spare part kwa chopper? I’m sure ziko pale grogon.