Je huu ni ungwana ?

Seer

Village Elder
#1
A.R.T advert

22. March 1992 (Sunday) Hrs 1200
wewe kama mama ameolewa, uko na mume na waoto, pia uko na nyumba yako
Mola amebariki mumeo na kazi nzuri ya ofisi na wewe pia uko kazi murua
Kwa bahati mbaya pale kazini mwako mambo inaenda mrama na ile kampuni inafirisika wafanyi kazi wote ukiwa moja wao wanapoteza riziki zao
kitu kama hicho kikitendeka mke wa hekma huketi chini na mumewe na wana jadiliana vili watapata suluhu
Lakini kuna wake wengine ambao hunyamaza nahawawaambii waume zao kilicho tendeka , wao huamka asubuhi kama kawaida na kufanya waume wao kuamini hao wamaenda kazini kama kawaida
Yule bibi akifika jijini kazi nikupiga roundi mwenda siku nzima. Jioni anarejea nyumbani mwake kama alietoka kazini.
Wiki tatu zinaptia na pesa za nauli zinaanaza kudidimia, siku moja akiwa pale makutano ya Luthuli na River Rd anaona klabu moja kwa jina Rico akaamua kuingia ndani ili ajue nini huendelea humo ndani
kuingi pale ndani akakutana na makahaba wengi wakiwa kazini, yeye akajifana yuwaenda kujisaidia pale msalani alipo maliza alikutana na mwanaume moja amemgojea hapo nje ya mlango , yule bwana akamuliza pesa ngapi shot?, yeye kwa vile ni mgeni mahali pale hakuwa anaelewa malipo ni pesa ngapi , akauliza mwanume yeye ako na pesa ngapi , yule bwana akamwambi ako na kawaida , Kawaida ni pesa ngapi?, yule bibi akamuliza, mia mbili yako na chumba mia moja hamsini akamjibu
Yule bibi kwa vile hakua na pesa zozote hata za nauli, akakubali shingo upande
Kule chumbani yule mwanaume aliposhiriki ngono na huyo mwanamke alijua kwa uhakika huyu mwanamke sio malaya alikua ana teleza humo ndani veyema kabisa , akamuliza "jee wewe unafanya kazi hapa ?, yule bibi akamuelza hio ndio ilikuwa siku ya kwanza - yule muwanaume kwa vile alifurahia akamuongeza malipo hadi mia nne
Yule bibi alimaliziaya hiyo siku huko, alikua ametengeneza zaidi ya elfu mbili kwa wanaume wanane
kwanzia hiyo siku- hiyo ikawa ndio kazi yake mpya.
sasa nauliza jee huu ni ungwana?, mke wa mtu kufanya ukahaba huku mumewe akiamini mke wake ako kazi kwa kampuni moja hapa jijini
Pia kuna hatari kubwa sana mtu kulala na mke wa mtu hata kama hajui. mwanamme anaeshiriki ngono na mke wa mtu , anaeza fuwatwa na masahibu chungu nzimana asielwe nini kinamkula.
wasomaji wa hii kijiji nawauliza tena
Jee huu ni ungwana ?


sanyo armco advert


sanyo armco advert
 
Last edited:

Starscream

Village Elder
#4
the sad hing is that it actually happens , i know of a certain Lady who lives near me that lies to her hubby (a shagz mundo) that she works in an mpesa shop in ngara but spends the whole day in Tearoom selling punani
the sad hing is that it actually happens , i know of a certain Lady who lives near me that lies to her hubby (a shagz mundo) that she works in an mpesa shop in ngara but spends the whole day in Tearoom selling punani
What's her name na anakaa aje? Is she worth my time?
 
Top