Je kufanya mapenzi na mwanamke anayenyonyesha kuna madhara?

wakuu husika na somo tajwa hapo juu nAomba kuuliza ukigegeda mwanamke anaenyonyeshA hususan asie mke wako kuna madharA gAni?

Kwa nini ulale na mke wa mtu, tena anayenyonyesha…

Cc: @Mahondaw

Kuna dhambi nyingine hata shetani anaziogopa

Kwakweli.

Saitan
Yaan ukamege mke ya wenyewe?tena ananyonyesha??
Huoni haya??