je kuna madhara ku sex na mwanamke anaenyonyesha,?

wakuu husika na somo tajwa hapo juu,kuna madhara ukigegeda demu anaenyonyesha ambae sio mke wako?

Madhara yaposiyo tu kwa mwanamke ambaye ni mke wako tu hii ni kwa wote mara nyingi hutokea kwa wanawake wenye Homoni mihemuko kwani husababisha Maziwa kuwa ma kemikali ambayo humfanya Mtoto eidha kuacha kunyonya, maziwa ya mama kutokutoka au kuharisha na hatimae Afya ya Mtoto kudhoofu, Watoto wa aina hii ambao wazazi wao huufanya Mchezo huu kuwa wepesi sana ukiwawanyanyua…!!! na wakati mwingine Mamaanaweza kupata Mimba isiyotarajiwa

Acha Ukatili wa kfanya Kwichikwichi kwa mama anayenyonyesha, Acha kudanganyana eti ikipita siku 40 ni mwendo Mdundo…!!! Unamdumaza Mtoto

Maziwa ya Mama kwa mtoto ni muhimu sana