[ATTACH=full]181472[/ATTACH]
Hahah!! Adi itaoza hakuna mtu alieonja
Kwanza tujue keki ya taifa nini?.maana jamaaa wana lugha za ajabu
Haiwezi kuoza Davet, kuna watu wana visu vikali na uma zinazochoma vizuri wanaila na kuibugia hiyo keki kwa kufakamia hadi wanakaribia kuvimbewa. Sasa ukisubiri zamu yako ya kula ifike utangojea sana, kuna wanaoila kwa niaba yako
Hahah!! Nimekupata mkuu kumbe kuna watu wanatuhujumu cake yetu…
mwenye keki anawapa watoto wake tu
asee, iyo keki inapatikana wap niifuate
Hiyo ndio hali halisi mkuu
Shukrani mkuu
Msijali, tunaionja kidogokidogo kwa niaba yenu… :D:D:D
Hata waliosoma kwa mkopo wamekula keki ya Taifa.
bashite