Je ni haki?

Leo nimeonelea nianzishe mjadala huu.Nikiwa nimeketi hapa Dolce nikinyonya glass ya jameson nikiwa nimezungukwa na warembo, nimepatwa na wazo ambalo limenitatiza, je ni haki kumfira mwanamke ikiwa hauna nia ya kumfanya awe bibi yako.Maanake vijana wengi wana tabia ya kuwafira wanadada na ilhali hawana nia ya kufunga ndoa nao.Mimi naonelea kwamba hakuna haki katika hiki kitendo.

Babu yangu aliniambia, “Kijana, Cha mkufuu mwanafuu ha, akila hu, cha mwanafuu mkufuu hu, akila ha!”

13 Likes

https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcQhi_1_ia89zmUi4-YvovtGz9aGyEStgI2_Edeu0YXNOJBREpNPLg

1 Like

Ingrish …please …his kiswahili ni ngumu…nilipata E

2 Likes

iwapo mumekubali kujivinjari pamoja hamna shida. ninaweza kuwa na Shaka iwapo utamla tigo sababu itakuwa wazi humjali kabisa!

Ni mwiko, la hasha, ni dhurma kubwa kumfira mwanadada wakati wowote. kwani uke alipewa wa nini ndiyo ufuate kiungo cha kusafishia tumbo?

3 Likes

Translation bitch!

Ukikosa kuwafira watafirwa na ‘wafiri’ wengine kwa hivyo haijalishi kama utawafira ama hutawafira lazima watafirwa

5 Likes

[ATTACH=full]10469[/ATTACH]

@The_Virus Boss, umelewa enda nyumbani

Ni Hujuma kama wahenga walivyonena mwana tezi na omo marejeo ngamani

1 Like

Yako ni mawazo ya kishoga

2 Likes

@ the-virus yahoo noma hehehe!

Maoni yangu ni kwamba hakuna ubaya wowote kama mmekubaliana kufanya ngono. Issue itaibuka kama utamchukua kidosho kisha ukafanya mapenzi naye kwa njia ya kumlazimisha.

1 Like

I’m reading this like…http://www.nation.co.ke/image/view/-/2799956/highRes/1073846/-/maxw/600/-/eprr02z/-/DNCourtKuria1607e.jpg

naona pia wewe hurahatupuika. hadithi za tigo. Daahda!

Kwa nini mwanaume mzima ananyonya glass ya Jameson huku amezungukwa Na warembo? Ni haki kuonyesha ishara hadhalani eti unataka kunyonywa na kuwatia nyege bure. Ni sexuo harasimenti tu Kama venye mwanamke hastahili kutoa ndizi ganda lake na kuiuma akilekeza macho kwa mwanamme.

2 Likes

hi posti ni kiendeshwo barabara yani mharo.

1 Like

Jibu safi kaka. lakini hilo neno ‘dhurma’ umeliandika visivyo

Binadamu jike ni kufirwa sasa hizo za ooh si haki ni haki pantambua