Je ni kweli kuwa Jf Tanzania mpaka sasa hawajui hatma yao ni nini?

Ni kimya tena yenye kushangaza kuona forum ya Tanzania hasa ktk upande wa fb kushndwa kutoa taarifa kamili katika page yao kuhusu kurejea kwao na taarifa zinazoendlea kama page zingne, nauliza je hadi fb page ya jf nayo imezuhiwa kutoa taarifa zozote ni mpaka leseni pia na je nini hatma yao katika kurejea hewani?

Nawasilisha.

Naona wameamua kusitisha kutoa taarifa baada ya kuona kila wanachopost watu hawajadili walichopost bali wanauliza urejeo na hatima yao ni nini?
Bora wakae kimya ili wakija waje moja kwa moja.

Ngoja wajipange naona wamechoshwa
Na maswali yetu wakipost tu
Cha Kwanza n kuwa mnarejea lin

Bora “aiuze” kama wanavyofanya airtel, from center, zain to airtel

Natamani irud kama sasa wallah

Hawaruhusiwi kupost habari yoyote kwasababu wamejisajili kama

Twavuta subira sasa

Inawezekana.

Ngoja tuone.

Kama…?

Yajayo yatafurahihisha

Kwahyo itoke Jf ije… Ipi?

mambo ya kisengerema, pale unapoogopa hata kivuli chako…JF imeonekana ni hatari kwa maslah ya wachache

[FONT=courier new]Kuna Mtu aliniambia / alinidokeza / alinitonya kuwa huku KT ambako JF ipo kuna ’ Chawa ’ wengi sana wamekimbilia kufanya ’ Kazi Maalum ’ nikawa namkatalia kata kata ila kwa aina hii ya ’ mtiririko ’ wa ’ Kinafiki ’ kama siyo ’ Kisanifu ’ sasa naanza kuamini na kukubaliana na yale niliyoelezwa hapo awali na nikawa nabisha.

Kazi ipo hakyanani!!![/FONT]

Yawezekana ni kweli hawajui hatma yao maana mmh!

Unafiki umeuona wapi sasa?

Ni hatari kubwa sana ila nina imani itarejea.

Ni masktiko sana, waliokataa utumwa bdae wakishtuka hawana uhuru.

Hahah!! Ngoja tuache muda useme maana masaa hayarudi nyuma kama muda wa kufuturu

naona meamua kushuka vina kabisa duuuu

Hahah!! Habari kwa vina mkuu