Je, unapata tatizo kujisajili JamiiTalk?

Habari je, ukijisajili jamiitalk unapata tatizo?
Basi hilo tatizo nilamuda mfupi Uongozi wa JT tunafanyia kazi hilo hivyo ukijisajili halafu ukashindwa kupata access subiri baada ya muda kisha login utakuwa na uwezo wa kuingia.

Register or login through www.jamiitalk.com