JF App irudi angalau kwa siku moja; kuna mitongozo PM tukaombe namba

#1
Habari wakuu,
Kupotea kwa JF original kumenisononesha kwa mengi. Lakini hilo nilitotaja linanitia majonzi zaidi. Nilikua nishafika hatua nzuri sana PM, ilikua bado kuomba namba tu.

Sasa sijui itachukua muda gani tena; ukirudi itabidi nianze moja. Hii sikukuu si itabidi nianze kutafuta ma Ex.
Na nyinyi kama kitu kimewagusa kuhusu kupotea ( hasa ilivyo ghalfa), mnaweza kufunguka.