JF DIASPORA WENZANGU MPO??

Mara tu baada ya yale yaliyotokea kule kwetu nyumbani kwa uwingi sana tulikuja huku na tukapata hifadhi, sasa nataka kujua kama bado wenzangu bado mpo ama ndo mmebweteka na kuchoma kambi mazima baada ya majukwaa ya nyumbani kufunguliwa…
JITOKEZENI HAPA NIWAONE…!!!

Hahahaaa. Tulishajiondokea huku Mkuu.

Kule kuna raha yake banaaa.

Nipo mkuu ila wewe ndio ushasepa kimojaa