Rudini nyumbani kumenoga. JF imerudi vile vile ilivyokuwa. Hongera Max and the Team
sawa tupo tupo kwanza
Huku Kushaanza Kunoga Kama Ile Kipindi Unafeel Kuanza Kukojoa
Naondoka Rasmi humu kuanzia leo
Nilikaa mwaka bila kuingia humu
Narudi nyumbaaaaan
let’s do it darling home sweet home
Hahaha
Mbona mm huniambii?
Mie huku sitokiii
Tena lile bao Manzi kakukalia juu
Tutabaki ote
Ktalk is very addictive, kuingia ni rahisi kutoka ni vigumu mno
Ninakuomba dada angu bandika nyuzi ya kuwaaga rasmi ndugu zetu wakenya. Waombe pia majukwaa yetu watuachie vilevile.
Asante kwa heshima hii but why me madame?
Mashenzi kweli hayo!! yaani nimeweka uzi wa kumsifia Moderator wa Kenyatalk huyu @The Tweet eti yamenipiga BAN. mfyuuuuuu.
Hahahahahha Customer service…karibu tena
Yamejiona majinga yamenifutia BAN. mxeuuuuuuu.
Hahahaaa. Pole dada ake.
Mie pia nilikuwa naandika kumsifia ile napost tu kwenye uzi wako eti uzi ushafutwa lol.
Ile ndio shida ya Jf.
Ebhana eeeh huku ni kujiachia hadi sio vizuri