JF kuna mabinti wazuri balaa!

Hi,

Yani mabinti wakali balaa…kama kina @Demiss @Mzigua90

Yani mimi mwenyewe mkaree…njoo kwa @innaa yani mtoto mzurii.

Ongezea unaowajua…

@Shunie @Sakayo @Raynavero @Dinazarde nao wakalii

Nasubiri vidume vya JF vije kutoa udenda hapa

Abeeeeh asante Mungu na hizi sura za baba leo tunasifiwa

Eeeh bwana. Huoni mwenyewe na sura ya anko wangu nimeingia kwa list

Ha ha haaa…

Wewe unavyoandika tu unaonekana mcute

Uzi bila picha ni kama kuangalia porn bila sauti

Ha ha haa…

Jidanganye siku unione useme na mi mbovu

Mi natabiri…umekamilika kila idara

Haya jidanganye tu

Kweli mkuu jamani asante kwa kutuona kwa jicho la pili

Hahhahaha

hahahaaa Doncute id ya kule kwetu ni ipi acha hii ya ukimbizini

Hahaha

Hahahaha sio kwa promo hilo aki! Halafu watu wakuje na ID za zamani bwana

Shost kumbe wewe mwanakijiji?

Kipenzi ninakukubali sanaa, huyu aliyefungua uzi atakuwa anakufahamu.
habari za siku, lini tena pale kruizi???