JF usiku wa Manane

Kwa heshima na taadhima wale watu wa kukesha naomba tuendeleze kukesha huku uhamishoni Kenya.
Kenya oyeeee.

Naomba mtuletee cc mahondaw na cc smart

Oyee

Sas ajamani tupo wawili tu. Si bora uchukue uber uje geto tuongee face to face

Wacha nicome

U cum? Au ukuje?

Wacha nicome

Wacha nicome

Nikuje

Bora ivuga umekuja jamaniii nilikuwa nawaza ntakupata wapiiii

Uzi wa usiku nao huoo

U

Ungenambia nikusaidie kumpata

unataka unifanyeje ili nijiandae.
Mimi naishi kawangare. Count ya kakamega

Kwani anataka kunipea nini?

Anataka kukupea ile wanaumee wanaombaga

Tutanasiana.
Huku kenya hayo mambo hayapo

Hahahahahaa.

Ile venye unajua nataka sema

Hahahahah jamaniii nenda katembelee nyuzi za wakenya kiswahili chao jamani

MMU mpaka weekend iishe itakuwa imehamia yote huku.