Jimmy Gathu - Stay Alive & Some Old Adverts.

Koolibah

Village Sponsor
#3
Sportsman sawa hasa!
KQ should ge another signature tune. Till today in their planes they play the same tune. Badala ya kunyanduana ole sereni hao mabigi watumie doh vipoa
 
Starscream

Village Chief
#4
Kulikuwa na advert ya condom jamaa alikuwa anaweka condom kwa chupa halafu anaangalia madem wawili suggestively. Walikuwa wanasema ukifreak bila sox no diggity uta trip
 
A.G.

Village Elder
#5
Kulikuwa na advert ya condom jamaa alikuwa anaweka condom kwa chupa halafu anaangalia madem wawili suggestively. Walikuwa wanasema ukifreak bila sox no diggity uta trip
Ile jamaa alikuwa anavua sharti, kisha kajimwagilia maji then io chupa kaivisha condom...noma sana. ilikuwa ya TRUST ?
 
Top