[ATTACH=full]69660[/ATTACH]
Life under Jubilee
Really???
Doesn’t the nation editorial board have a responsibility to protect their consumers from outright fraud and conmen.
Kulikuwa na ile ingine ya illuminatti, yaani these guys don’t care, as long as wapate hio mia nne ya classifieds
:eek::D:D
No comments
Nimepiga hio number.
Hiyo saa hizi iko kwa archives. Was way back then vile ktalk ilianza
They publish a caveat somewhere huko kwa classifieds.
Kwa true caller : “Invest 30k 10k M” Jina yao
The fact that the guy is aiding and abetting corruption on a national newspaper shows that the fight against corruption is a mirage
whats the archiving policy, is it searchable, na vitu hurushwa huko after how long?
not near enough
Ndio mtu asiseme nyama ilimpita
It’s searchable. Just look through posts za January and February 2015
…True, nyama being advertised left, right and centre
ongea na mzito @Ice cube
Na hapo kuna watu watalilia kwa choo.
Hao watashikwa mara moja wasiharibie serikali jina.
Sasa wameona watu wengi wamepiga io namba…wanawaruka[ATTACH=full]69799[/ATTACH]