Jinsi ya kutengeneza sabuni

Formulae no 3 (flat D)

na Emmanuel kasomi

Jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche

Malighafi

  1. Caustic soda vijiko 27 vya chakula

  2. Maji chupa 239 soda

  3. Mafuta lita 2 ( mafuta ya nazi,mawese,nyonyo au mbosa)

  4. Sodium cilcate 1/2 kg

  5. Rangi ya sabuni kijiko 1 cha chai

  6. Industrial salt vijiko 3 vya chakula

  7. Harufu kijiko 1 cha chai (perfume)

  8. Hydrogen peroxide vijiko 4 vya chakula (kwa ajiri ya kuondoa rangi ya mafuta na kuongeza wingi wa sabuni.

Hatua za kufuata

  1. loweka caustic kwenye maji kisha koroga kwa dk 15 na uache kwa kati ya siku 1 ama 20 hours.

  2. siku ya kutengeneza sabuni injika mafuta jikoni na yakichemka tia hydrogen peroxide kidogokidogo huku
    ukiyaangalia mafuta yako kwa kutumia karatasi nyeupe kama rangi imetoka yote.

  3. Baada ya hapo chukua maji ya caustiki soda,tia sodium,chumvi,kama unapenda rangi weka na

kama unapenda harufu weka huku ukikoroga kwa nguvu na kwa spidi hadi dk 15.

  1. Andaa ndoo ya plastiki na utie mafuta uliyoyaandaa na hakikisha yamepoa.anza kuyakoroga

kuelekea upande mmoja huku ukimimina ule mchanganyiko wako wa causiki kwenye mafuta kwa

mchuruziko kidogokidogo huku ukikoroga kwa nguvu zako zote hadi utapomaliza na baada ya dk
10 hadi 15 hivi mkorogo wako utakuwa tayari.

  1. Kamimine kwenye umbo na usubili sabuni
    ikauke na baada ya dakika 45 sabuni yako itakuwa tayari kwa matumizi.

Sabuni ni ya Paper Street Soap Co.

Watizedi ni wavivu

Kwa nini wako na uvivu?

Nitakuja siku nyingine kuiwekekea hapa

Nimependa Elimu yako, naomba nisaidie kazi ya Hydrogen Peroxide katika utengenezaji wa sabuni ya Kipande na Maji

Huu husaidia kuondoa hali ya mafuta ili kuacha unadhifu