Jiwe ameendesha kikao Ikulu saa nane usiku

Jiwe ameendesha kikao Ikulu kuongelea taarifa ya ubalozi wa USA. Alitaka kumfukuza balozi leo lakini wenye welevu wameshauri aache.
Ana hasira sana sasa hivi. Kikao kilimalizika saa nane usiku

acha bana, yana ukweli haya sky eclat

Thubutu yake! Amfukuze balozi wa USA?! Atajuta kuwa rais kilaza!!

Jeshi la mtu mmoja hana budi kufundihswa diplomasia aise siwezi kukupinga alitaka chukua uamuzi huo kwa jinsi alivyo na mihemko na kutaka kuwa juu ya kila kitu

Mavi yake. Hiyo sio Malawi

[MEDIA=facebook]1977540788974766[/MEDIA]
Siku si nyingi Trump atalitishia tuone litakavyohara ndipo mtatambua si jiwe kitu ila kamasi tu! Cheki lilivyoharibu lichama lao

Akimfukuza mimi nitafurahi sana.

amfukuze tu,jiwe fukuzaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa usihofuuuuuuuuuuuuuu,hatutakuwa wa kwanza kufa kiuchumi

Hajui kuwa yote aliyoongea wajinga wenzake wenzie wanayo tayari

Angemfukuza ingekuwa poa sana,fursa jumuia ya kimataifa kuangaza siasa chafu Tz.

Ikishaangaza utapata chakula zaidi mezani kwako, unadhani kabisa ukiangaza wao ndio wataku treat better, you’re lost in deep shit

Which is a better option in your opinion; to be ill-treated with a little bit of dignity with a chance to use your own efforts to better your prospects or being ill-treated without an iota of dignity with no chance of being allowed to live your own chosen life?

Had a colonial regime been here today I would have gladly accepted it over the current joke of a government. At least I would have a chance to predict the likelihood should I act in a certain way as they always ruled according to the laws of the day.

Bread is important, Freedom is important. Freedom make bread searches a reality. References are numerous eg Quadaf regime

Hahaha nacheka kwa dharaaau…
Natamani ingetokea nione kama tungeweza zima moto wake…

Cc: @Mahondaw

I thought you was smart until i read the statement that it’s better, you were under colonial regime than the current one. What is it that this regime annoys you, to the point you would prefer colonial regimes, I have been to countries that were dictatorships, the current regime doesn’t reach anywhere. I pity you guys, I will gladly elect him in 2020 and I wish he stay past 2025

Had you read keenly what I wrote you wouldn’t have asked what annoys me on this joke of a government led by an idiot who you idolize. I doubt you define dictatorship same way as any sane person would. Reserve your pity on the ignorant as I don’t need it because I know precisely what I stand for.

If you were a Tanzanian and you have ever done an honest day’s job in your life you would never wish this idol of yours to be in office tomorrow.

Buda boss, me ni mbongo pure, chaga pure, honestly from the deepest part of my heart and mind, this idol of mine i wish akae ofisini hadi past 2025, basi tu hili likatiba letu la kiduwanzi. Angalia vitu tangible amefanya since aingie madarakani, kukutajia hapa nitapoteza muda na utashindwa kuvimaliza kusoma, worse and weird enough, you know them, but you decide not to acknowledge, naongelea vitu vinavyogusa wananchi wa kada zote, anzia barabara, umeme, reli, air transportation, utalii, maji, food security etc. Ofcourse changamoto hazikosekani since he isn’t a god. Kuna ambao mianya mmezibiwa, hamna budi kumchukia na kumtakia kifo, but its for the sake of the majority common wana wa nchi. Pole sana, sababu utabakiwa na chuki dhidi yake hadi 2025 and there is nothing you can/ will do, sababu ni mpango wa Mungu. Adios!

You are a parrot. Which road or any other project has this government started and finished? For your information, 90% OF ALL ROADS constructed from 2000 - their funding was negotiated during Mwinyi’s era, funding secured during Mkapa’s era (after the implementation of the recommendation by the South-South Co-operation as agreed by the Donor countries leading to debts relief arrangement). Nyie msiotaka kufikiri ndio mnakaririshwa hayo ya kuzibiwa mianya. Ungekuwa na akili ya kawaida tu usingethubutu kumhusisha MWIZI (umeshawahi kumsikia huyo “nabii” wako unaemuabudu akiongelea suala la nyumba, ile meli ya samaki, boat ya Bagamoyo etc?) na kuziba mianya ya wezi wenzie - fortunately sijawahi na wala siwezi kuwa part ya wezi hao ambao wote ni ccm.

POLE WEWE NA HUYO MAGUFULI UNAEMUAMUDU. Mungu aliruhusu watawala waovu kama yeye hata siku za nyuma kwa sababu anazozijua mwenyewe. Na kwa maana hiyo mie sina sababu ya kumchukia Magufuli wala kumtakia kifo - kisasi ni juu yake mwenyewe.

Bora mm parrot smart enough i can mimic human voice kuliko ewe nyumbu, 90% of the roads constructed from 2000, their funding negotiated during mwinyi’s era and secured during mkapa’s era, hahaa. Duuuh, jamaa nimekunyoshea mikono, you’re next level mkuu, sio kwa huu uwongo huu, unapaswa tambua, kwamba hata miradi anayotimiza magu, aliyotimiza kikwete, ni ilani za chama cha mapinduzi, hata kuhamia dom ni ilani mojawapo ambayo ilihitaji mtu mwenye maamuzi magumu, kununua ndege likewise ni manifest za chama ambazo zinatimizwa na magufuli sasa hivi, angeweza timiza kikwete bali hakuwa na maamuzi magumu, the guy has stayed in office for how many years, ndege ngapi ameleta, kikwete alikaa for ten years, ndege ngapi alileta. Ati Mungu aliruhusu watawala wabovu, unajuaje ni mtawala mbovu, Mungu amekwambia au ni mawazo yako tu yaliyokengeuka, au you think you’re so perfect kiasi kwamba ukimwona kiongozi fulani ni muovu basi ndivyo Mungu anavyomwona. I pitty your sadistic self.