• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

JKIA Whole Day Parking

shocks

Village Sponsor
#1
I'm trying to compare cost ya kupark gari huko from 6am to 8pm na cost ya kutumia uber.
Nimekua nikitafuta info. kuhusu hii story na shida ni ile info KAA na KAPs wako nayo ni confusing kwa wale wasee hawajui parking zones inside there vizuri.
Jana drinks nikapatana na msee who seemed to know something, shida ni alikuwa inebriated kiasi so kuna vitu siku elewa.
Alisema kitu kama
Parking building - 750 Bob,
Parking iko terminal 2 towards "syokimau"? 560 Bob but ukitokea gate ya "cargo"? ni 200bob
That 200 bob option got me interested lakini hizo directions zimeniweza.
@incognitus na wale wengine, mawaidha priss
 

shocks

Village Sponsor
#4
just uber....or let your woman come pick you
Uber ni around 850bob one way from my house. I'm thinking ngata naweza tumia kama ya 5soc return. So hizi parking rates hapo juu zikiwa confirmed, Nita save not to mention the inconvenience of waiting for an uber at JKIA
Being picked is an unnecessary inconvenience to someone
 

mikel

Village Sponsor
#6
Have you also thought about using zile bus za ambassador, very cheap and convenient especially if its a day trip...always preferred them esp since I always travel light
 
O

Okiya

Guest
#8
I think that trick ya cheap rates pande ya cargo terminal iliisha. Leo nimelipa 70 bob using that cargo exit. Kawaida ingekuwa 50
 

jagger_snr

Village Sponsor
#13
Kuna kitu najaribu kuelewa.. Will you be working on the said day or some more days still or flying out to fly in later in the evening (s)?
 

incognitus

Village Elder
#16
Buda side ya cargo for example nikiingia morning kitu 9 na nitoke 5 or 6 huwa nalipa 150bob. Kitambo hao majamaa wa kaps ulikuwa unawapatia 50bob wanakufungulia but walishikwa wakamaliza hiyo story.
pande ya arrival huwa sikai sana but their lowest is 70bob.
Overnight no idea.
 

Top