JKIA Whole Day Parking

I’m trying to compare cost ya kupark gari huko from 6am to 8pm na cost ya kutumia uber.
Nimekua nikitafuta info. kuhusu hii story na shida ni ile info KAA na KAPs wako nayo ni confusing kwa wale wasee hawajui parking zones inside there vizuri.
Jana drinks nikapatana na msee who seemed to know something, shida ni alikuwa inebriated kiasi so kuna vitu siku elewa.
Alisema kitu kama
Parking building - 750 Bob,
Parking iko terminal 2 towards “syokimau”? 560 Bob but ukitokea gate ya “cargo”? ni 200bob
That 200 bob option got me interested lakini hizo directions zimeniweza.
@incognitus na wale wengine, mawaidha priss

Can’t relate I only get in and out as fast as I can usually I pay 100-200 for 1hr or less .I think per hour it’s 150bob

just uber…or let your woman come pick you

Uber ni around 850bob one way from my house. I’m thinking ngata naweza tumia kama ya 5soc return. So hizi parking rates hapo juu zikiwa confirmed, Nita save not to mention the inconvenience of waiting for an uber at JKIA
Being picked is an unnecessary inconvenience to someone

Kama sijkosea, the cargo gate is lower down the opposite side of Mombasa rd, karibu opposite ile mall ya Syokimau

Have you also thought about using zile bus za ambassador, very cheap and convenient especially if its a day trip…always preferred them esp since I always travel light

6am baba, jioni labda.

I think that trick ya cheap rates pande ya cargo terminal iliisha. Leo nimelipa 70 bob using that cargo exit. Kawaida ingekuwa 50

Jameni you’re flying na unafanya hesabu ya 350/-???

:D:D:D:D:D:D…peasant things. Lazima he’s flying with jambo jet

Mara tatu na niko na thao tatu za shot, ni biashara yako natengeneza

Kuna kitu najaribu kuelewa… Will you be working on the said day or some more days still or flying out to fly in later in the evening (s)?

Airticket ni client au employer amelipia.

Same day

Buda side ya cargo for example nikiingia morning kitu 9 na nitoke 5 or 6 huwa nalipa 150bob. Kitambo hao majamaa wa kaps ulikuwa unawapatia 50bob wanakufungulia but walishikwa wakamaliza hiyo story.
pande ya arrival huwa sikai sana but their lowest is 70bob.
Overnight no idea.

Flying is just a mode of transport ,Kenyans need to get used to this fact , it isn’t a big deal so budgeting for 350 is very o.k.

True…but he’s really going through a lot of trouble just to save 350.

It’s worth it. Calculate the 350 in just 30 days, that’s money that can do great things.

Kwani he’s flying daily?