Jobless

Holy spirit ishike mtu leo ka vile ilishika Good Samaritan nipewe kazi. Any work itakuwa sawa

Utaweza kupandisha mawe 250 hadi gorofa ya sita…

Nianze kazi lini?

11 Likes

Nianze kazi lini?

Wapi huko ,NCA inakubali ?

hata Mimi hio nimeona ni slavery, unless kuna lift kwa site…that is not very safe

Mawe 31/hr in a 8hr working day. Hio ni kifo

Io ni kifo wallahi. Kwa @roll out kuna kazi mob, ata anaeza pewa kazi ya kumbebea ile Dasani mineral water

Wewe Unataka kuanza lini

That’s the spirit Bro. Pick the low lying ones first and the higher ones will line up for you to pick them later.

2 Likes

Uko na laptop na internet?

1 Like

Hiyo Hata ni Sosa, wasee wa plasta ndio huona siku mrefu.unapewa kipimo ingine Saa nne ya usiku ndio anamwaga niro.

https://www.kenyatalk.com/data/avatars/l/16/16637.jpg?1489533202

Tupatie caption ya nguvu hapa kwanza

Nimeona,wamama kwa site ,wakipandisha Mchanga ,pia material zingine , lakini kuna utumwa kwa this construction industry
Just help this person if you can ,tusiderail thread plz !

1 Like

Job ziko Kama yeye anaweza kubali kufanya.

1 Like

change hio avatar ya ujinga ndio mbirioneas tukusaidie

Welcome to the club bro…

Ulisaidia jimwit after kumuitisha cv?

2 Likes

assuming he has one…which job…which site…share pia watu wengine wafaidike

daktari bado hujalipwa hio 500% payrise ?