Johnny my bro

THIS IS A spinoff of my previous HEKAYAS…READ Them.


alriiiight…kama ulisoma hekaya yangu uitwa “This is my story” utakumbuka nkona bro lakini tuliseparate tukiwa wadogo juu wazae waliachana mimi nikabaki na buda nae akaenda na mom…mimi nikastay na buda na shosh hadi wakadead nikabaki solo,mathe alikam nikiwa form 2 nilikua nmekaa almost 10yrs ndio alikam kunichukua nikaenda kuishi nae…hapo nilimeet masiz but sikupata bro niliskia ako nairobi nami nilikua sijawahi kanyaga nairobi.so nilipoenda kwa mom nilikaa 2yrs huko hadi nikamaliza chuo nikiwa huko ndio nilipata anita my baby mama saa ii ni ex wife, baada ya kupata mkid nikaenda msa kuhustle na ndio later nikahamia nairobi.kumbuka nilikua bado sjawahi meet bro,nilipofika nai ndio tulimeet na bro,msee anafanya job pale kappa ni operator wa crane akona madoo mbaya but haendagi home ye na mathe ubonga na simu,anaishi south b…mimi nlipokam nai nilistay kwake kidogo na juu nlikua na wife home ikanibidi nitafute keja mukuru kwa njenga ndio nistay na family yangu…my bro tulikua tukimit weekends anabuy pombe ilikua ni process ya kujuana coz tulikua apart for 15years but nilinotice my bro ni mtu kupenda madem na pombe…akona watoi kama nane different baby mamas…

sasa ilitokea nilipoachana na wife wangu nae alioa kadem flani kamgreek,walikua wanapendana sana hadi nikaacha kuenda kumvisit juu huyo alikua hampei nafasi ya kutoka,mapenzi motomoto!..mimi nae nilikua nafight kijeshi juu ya mtoto wangu na nastay nae bila bibi saa io ako 3yrs old tu…juu nilikua turnboy saa zile naenda far namuacha na single mother flani hapo kwa plot na namuachia doo za upkeep but huyo mathe siwezi alikua anilipishi na alikua akinitunzia mtoi vipoa sana…sasa bro alikam akafutwa job…akawa anashinda pale astrol mlolongo akiendesha tule tufork lift hapo.,siku moja kurudi home alipata nyumba yake ishaingiwa na msee mwengine…! inamaana yule wife wake amebeba kila kitu…hadi manguo.hapo ndio maisha ilimgeukia aliponicall mimi nikamshow akam tustay pamoja…akakam nikawa realived juu alikua akichunga mtoto wangu sikua na wasi until siku moja nilitoka kampala,narudi kwa nyumba napata viatu za dem hapo kubisha kukatokea kadem ka underage… kakaniuliza nataka nini…mimi nikarada fasta nikafikiri labda msee ameimport kadem anyandue kataenda…so mimi nikajifanya nilikua nataka mwenye nyumba nitakam baadae akikam…kukucall bro nimuulize ni nni inaendelea akanishow tumit place flani hapo kwa reli,ndio msee akanishow alikatia katoi kashule na akakadanganya hapo ni kwake sasa kamekataa kurudi chuo kamehamua kuolewa nae na kanamtishia akikaruka katashout msee amefungia underage kwa nyumba sasa ikabidi aningojee…tulipochunguza kwa hako kadem ni wapi tulipata ni mtoi wa magistrate flani…hapo ndio nilicheki bro machozi ikitoka juu hapo ilikua either akimbie aniachie mzigo wake ama ttutafute plan vile atajitoa ama nimwache aende jela acheni nikunywe maji…ntarudi

:D:D:D:D

Mbona maisha iliwachenga hivyo kwenu?? Pole lakini…are u still in mukuru?

Wah…yaani mtu mmoja anaweza pitia izo shida zote…yenyewe pole bro

Malizia hekaya

niko kite

Oya! Malizia hii story bana…

Nitasoma kesho nmelewa…meffi

Malisa hekaya tafasali

Hekaya timam.Lakini wakao mnapenda sekete. Mtu moja ana watoto nane? In 2018?

whoa. maliza heka kasee…

So many questions but maliza Hekaya kwanza

You should write a novel my fren. Umetufungulia mwaka lakini malizia hekaya. Kula like.

Paragraphs omera. Paragraphs yawa

huyu ni kasee aisee

Kasee Mina hekaya

issa one paragraph story

wamucii!! malisa hekaya

Muoto!

Nilikuwa nadhani nimeyapitia lakini nikisoma zako naona hakuna kitu nimepitia…