JOIN FOR EVEREST BASE CAMP TOUR DECEMBER '18

[ATTACH=full]175821[/ATTACH]

si wakati huo weather ita kua mbovu?

Weather ya Nepal iko poa Spring (March,April na May),pia Autumn ambayo ni October,November na December
Hizo miezi ndio best time to visit and high season ya tourism ya Nepal.