Nimeshindwa ku upload video. Iko insgram kwenye page ya Mange. Jokate ametamnulishwa kama mama wa taifa kwenye sherehe ya 40 ya mtoto wa Zamaradi
Sharobaro atakayejifanya anampenda jojo itakula kwake
Hajitaki?
Aisee!
Aisee
Na alivyotambulishwa alionekana kufurahi sana
hivi kaukweli kanaweza kuwepo
Wanawake nimewasifu
Imeniuma sana. Nimemsubiria miaka dahali!
Kaka tunakupenda msahau tu
Jokate ni nani?
Haaaaaahaaaaaa. Hatariiiii
Bunti mmoja aliyependwa na mswaka ng’ombe
Ila wanawake mna moyo dude km lile una lila denda na ukatili wake wote.
Hata Iddi Amin kuna waliomdenda
Ukatili mtaani chumbani ma lavuuu tu, tena huwa wapole kama nini vile
We we weeeee ishia hapo hapo!
Cheo cha mama Maria Nyerere amepatiwa yeye kwa vigezo gani?
Labda mama wa taifa la Mkurabita na Mkukuta
Cc: @Mahondaw
Mchepuko wa taifa rather