Jokate ndiye nani na ana mahusiano gani na wakubwa?

Kapewa ukuu wa wilaya. Does she have qualification for that even though political posts do not require professionalism per se?

Chakula ya mkubwa hiyo

Mahaba niuee,binadamu tumeumbiwa kutamani,wacha afaidi matunda ya dunia.

Nanukuu, sijaja ikulu kutafuta wachumba

Jokate amecheza karata zake vizuri. Hongera zake :stuck_out_tongue:

Bibi mahaba niue mpaka Baba wa taifa anashindwa kulisoma jina la mama wa taifa . wahi insta vya Mange kabla hafuta

Nimeona Insta Mange kamwaga radhi, hivi haya ni kweli? Huyu baba ana mke na hawezi kwenda mitaani kumtafuta Jokate, sasa anampata wapi? Pamoja na kuwa simpendi huyu mtu , lkn nadhani hapa ni pagumu kupafikia maana hata ulinzi wake hautamruhusu!

Kwani hana macho, anatoa order tu, kitu kinaletwa hadi kitandani kikiwa kama kilivozaliwa, unakumbuka zile story za nduli idi amin dada, kwamba akimpenda mke wako tu, basi usishangae yakijirudia tena.

Mke wake anakuwa wapi?

Popote na jamaa hajali

Kalagabaho

Hmm! Kwani uliambiwa kuwa Jokate alikuwa anapatikana mtaani?..

Hiluka, hawa akina Jokate and company ni Malaya (najua unaweza usikubaliane na mimi) wako “barabarani”, mtaani kutafuta washikaji hasa wenye pesa. Sasa Rais atamkuta wapi? Kuletewa siyo Rais maana kila wakati yuko beneti na walinzi, mke and those close associated by vertue of his position.
Anyway, lakini Mengi Ntuyabaliwe alimpata wapi!

Tuna Rais wa ajabu kweli kweli!

Hapa napata shida saana kuamini

Balaaaaaaa

Kumbuka Jokate ni msomi na alikuwa msemaji wa UVCCM, alikuwa na fursa ya kuonana na wakubwa anytime…

Wewe!

Jokate amesoma na ana akili sana mengine yeye ni binadamu

akili sana unazirate vipi? mbona katika academicians sijawahi kumsikia?
Binadamu wa kukaa uchi, kukata viuno hadharani? Usimtetee kwa hayo! ana mapungufu makubwa she does not deserve to be a leader of a public office. Kwenye sanaa zake it is OK , 100%. Kuna miiko ya uongozi wa umma, kuna miiko ya Padre, kuna miiko ya Sheikh, kuna miiko ya mama na baba wa familia etc… kuna miiko pia ya usanii…