Jolof rice and other nigerian/west african delicacies

Where can an ALPHA MALE like me sample such delicacies in nairobi…? Suggestions? Restaurant reviews?

Sande mno

Enda James Gichuru Road tafuta place inaitwa Mummydada’s restaurant

Safi omwamii

Ama mama Oliech’s restaurant.

mama oliech wanafikiria pesa tunaokota chini. chapati wanauza 450

Hujui bei zilipanda tangu zuckerberg na mucheru wadishi huko 3 years ago? Hata huku Mombasa kuna mahali napenda kudishi lakini tangu Uhuru made it a must stop whenever yuko huku bei zimepanda juu sana. Although i still eat there once in a while that food is too good.

They can’t be serious.

Hio ni international restaurant bana. Mimi siwezi lipia zaidi ya 20 for a chapo.

For real?

:smiley:

Mama ashanti or mama oliech?

Mzito niambie jina na location ya io base ya pwani ndio pia Mimi nisample

[ATTACH=full]236497[/ATTACH]

:D:D:D WUEH whats with the lucky number 1250

Hadi kuna “fish special, Zuckerberg” wanauza 1500

liwe liwalo siwezi kula huko

ngombe,lala sasa

Na mimi hufikria hio ni kabandaski…wueeh

The place is called barka am sure you unapajua, in my opinion it is one of the best places to eat asubuhi, mchana, jioni na usiku.

When you say West African delicacies which ones do you mean? West Africa is huge and some eat monkeys as a delicacy at events like weddings, others eat cow hooves, snails and other creepy crawlies, others can even eat you. Ask Doc Oga.

Jollof rice can spark e-war between Ghanaians and Nigerians.