JPM awageuka wapiga kampeni wake!

Najaribu kuwaza kwa sauti kubwa kampeni ya 2020 itakuwaje?!

Itakumbukwa kuwa katika kampeni za 2015 Mwigulu na Nape walikuwa mstari wa mbele kumpigia kampeni JPM nchi nzima! Sasa baada ya kuwatema katika serikali yake wataendelea kumuunga mkono hadi kumfanyia kampeni tena 2020?

Tusubiri tuone!

Bado Mmoja

Interesting times… but behind these appointments and disappointments I see strategic realignment and team composition in preparation for 2020

Na

Naniiii…

yule ananyoa UNGA kama referee Collina

Visasi

But keep in mind that the two are heavy weight in CCM politics!

wakileta mchezo Bashite anawafanyia pyuuu pyuu pyuuu

Hivi ni lini Mara ya Mwisho ulimskia DAB na makeke yake?

Kwishney Mwigulu pamoja na zile push-ups zake! Ngoja tusikie atakavyolipuka aligyokuwa anashinikizwa kunyamazisha watu! Aje huku atuambie na yule aliyeagiza Tundu afanyiwe pyu pyu pyuuuuuuuuu!

Mkuu,umenikumbusha kauli iliyo wahikutolewa na askofu moja,eti hatuwezi kumpa urais mnyoa unga(makamba).tehetehee

Shetani hajawahi kuwa rafiki mwaminifu hata siku moja

Wote hao wawili walianza kupishana na mamlaka wakati wa sarakasi za dawa za kulevya. Kila mmoja kwa wakati wake akaamua to be led by his conscious.

2020 wapiga kampeni wa Magufuli ni polisi wakisaidiana na wafanyakazi wa Tume ya uchaguzi, wa kutangaza matokeo ya Urais ni JWTZ.

Usitarajie 2020 atazunguka kama alivyozunguka 2015…jamaa anaweka kufanya kampeni robo tatu tu ya nchi.

Jamaa anazidi kuongeza wapinzani ,2020 itakuwa ngumu sana kupita huyu jiwe labda waibe

Wizi wa kura ni jadi ya CCM! Kumbuka alivyofanya Jecha kule Zanzibar!!

Kila mwaka na mbinu zake…

Ukifika huo mwaka utashangaa mambo yapo upande wake…

Cc: @Mahondaw

Jizi lililotamalaki magogoni linajiweka sawa na mashetani wenzake! Kumbe ujambazi mpaka TISS bhana araa!! umejua kile kilichomshusha Udeputy TISSS had uRAS? Alimchunguza bosi wake TISS mkuu kuhusu account zake ughaibuni ambazo walikubaliana wakwapue na hilo jambazi la magogoni. Hivyo jambazi kuu la magogoni likaamue limshushe msalika SHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEM

Unataka kusemaje sasa , kuwa urafiki na Jiwe umekwisha? Never!

Hivi unafikiri Magu anazitegemea kura za watanzania??

Yeye tayari anayo Tume ya uchaguzi ambayo amewachagua yeye kuanzia Mwenyekiti wa Tume na makamishna wake wote

Yeye pia analo Jeshi la Polisi, yeye akiwa Commander in Chief, anaamini anaweza akaagiza magari ya washawasha yaende mahali ambapo NEC “imeyapindua” matokeo na wananchi wanaprotest