Jua nchi

Huku ni wapi wakuu,Wajuaji wote uwanja ni wenu.

inakaa barabara ya kwenda mountain lodge, next to statelodge…though hizo acacia zinakaa place dry

Naivasha

Nope, hapa umeanguka na ‘ngara’

sawa…nimeamka na nimejipanguza

Yep,wapi haswa, I bet hii njia full of the rifts gems hauijui.

vile umeweka picha kama NV mimi naona ni ile path ya kuenda choo yetu pale Kimilili .

naivasha. north lake road.

Wewe khocha na hiyo X6 yako wacha ibaki tu ya kwenda kuramba kuma ya hood rats, otherwise ukifika Amsa tombana salama bro. Wish you well khochez.

Mwarimo mwenza naona umetembea sana, sasa nyuma ya hio mlima ndio ocha place inaitwa Ndabibi, sasa ukifika wileli sema Elgin tu.Utaletwa hadi home.

poa mwarimu.

Lakini, no one has been able to tell the exact lokeshen,hata @gachui, Moi northlake road inaamzia shekareli(check rail) hadi kongoni, yaani mambilionea hapa hamjui na wapi? Haka ka ‘keweseki’ kangu @ introvert kumbe kametembea kuliko X6?